Obadiahmayunga
Senior Member
- Sep 19, 2014
- 163
- 109
Mbona ume sample iyo instrumentaljamani naomba msaada kwa mwenye very good experience na sound engineering and piano jinsi ya kuandika the best melodies
refer the beat i have created below i need to add the best melody onto it
hapana kaka nimetengeneza fromthe scratch man sijatumia midi controller wala nini najua theory ya music kaka i know how to play piano nime tumia only DAW inaitwa lmmsMbona ume sample iyo instrumental
Beginner huwez tengeneza iyo
Iyo DAW INAITWAJE??hapana kaka nimetengeneza fromthe scratch man sijatumia midi controller wala nini najua theory ya music kaka i know how to play piano nime tumia only DAW inaitwa lmms
natumia linux multimedia studio ila natumia saaana piano kama kutengeneza rhythim and harmony hata melody pia sema kwenye melody bado sijamasta saaaaaana kutengeneza melody kupitia lyricsIyo DAW INAITWAJE??
Iyo DAW INAITWAJE??
natumia logic pia kaka iam doing music for funny kaka iwhat i want here is the knowledge of melody creation kuhusu composing and chord progression najua kakaTumia Mac OS au windows kutengeza music.
Tumia DAW popular kama FL, Cubase, Logic, Ableton
Pia unaweza tumia DaW kama Nuendo, Adobe audition kwa ajili ya vocal recording mixing na mastering
Sasa iyo DAW unayotumia sijui nani alikushaur
yeah very good mimi kila kitu natumia circle of fifth kutengeneza chordKama unajua ok. About melodies ukishika chord 3 tuu unaweza tengeneza music . cha msingi jifunze keys za music akisha master jifunze chords ujue major, minor major 7th, minor 7nth Augmented na Diminished chords utakua umesgajua kila kitu.
Japo kwa ma producer wengi unaweza ona anatumia Ufungu C au F# kutengeneza mziki autakao yeye anacheza na Transposition of keys.
Mafano anaweka Transpose -3 na anapigia mziki kweny F. Mziki utakao toka hapo mtu mwenye sikio anakuambia iyo ni key A.
So ni ujanja ujanja tuu
kila kitu relationships,tension and release(question and answers) but nikimuangalia producer kama scott storch najiona sijui kitu kabisayeah very good mimi kila kitu natumia circle of fifth kutengeneza chord
Huyu jamaa ni madawa tuu ndio yalimpotezea time. scott storch ni hatari sana yule mbwa.kila kitu relationships,tension and release(question and answers) but nikimuangalia producer kama scott storch najiona sijui kitu kabisa
aribia 90% ya beats za za dr dre amezitengeneza yeye unajua dr dre is the best sound engineer and scott storch is the illiest beat maker jamaa anapiga piano sijaona beforeyule karudi ila yule jamaaa beats kali zote unazozisikia kinanda yeye ndio kapiga yule jamaa sio mtu wa kawaida unajua watu wengi wanajua album zote za 50 cent and dr dre katengeneza yeye beat yake ya still dre and whoa za lil kim ni hatari
karibia 90% ya beats za za dr dre amezitengeneza yeye unajua dr dre is the best sound engineer and scott storch is the illiest beat maker jamaa anapiga piano sijaona beforek
aribia 90% ya beats za za dr dre amezitengeneza yeye unajua dr dre is the best sound engineer and scott storch is the illiest beat maker jamaa anapiga piano sijaona before
sikiliza hiyo beat nyingine kakaKama unajua ok. About melodies ukishika chord 3 tuu unaweza tengeneza music . cha msingi jifunze keys za music akisha master jifunze chords ujue major, minor major 7th, minor 7nth Augmented na Diminished chords utakua umesgajua kila kitu.
Japo kwa ma producer wengi unaweza ona anatumia Ufungu C au F# kutengeneza mziki autakao yeye anacheza na Transposition of keys.
Mafano anaweka Transpose -3 na anapigia mziki kweny F. Mziki utakao toka hapo mtu mwenye sikio anakuambia iyo ni key A.
So ni ujanja ujanja tuu