Nahitaji msaada kitabu hiki. Principles of Aqueculture.

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,315
2,634
Nili google nikakipata amazon ila bei yake imenifanya niombe msaada.kimeandikwa prinsiples of aquaculture by rober r.stick. Kinauzwa §290

kama upo mikoa ya kusini jaribu kwenda pale Songea boys high skul au St. Pauls Liuli sec kuna hv vtabu vingi sana kwenye maktaba zao..!?

Ukienda amazom tafuta vitabu used. Vinakuwa bado ni vizuri na bei yake poa sana hiyo unayosema $290 nadhani ni bei ya kitabu kipya kabisa.

Cheki hapa Amazon.com: Used and New: Principles of Aquaculture
thanx mtazamaji

Hakuna free copy yake online, labda jaribu hiki kama kitakufaa Aquaculture: Principles and Practices, 2nd Edition kinapatikana Aquaculture - 4shared.com download free

pia kitanifaa sana tu.nashukuru sana

Jaribu kuwasiliana na meember mmoja humu anaitwa X PASTER na muuulize kama kwenye hifadhi yake anacho hicho kitabu....

Jaribu kuwasiliana na meember mmoja humu anaitwa X PASTER na muuulize kama kwenye hifadhi yake anacho hicho kitabu....
ngoja nim-pm pia nakumbuka aliwahi kunipa kitabu cha c++.

Jaribu kuwasiliana na meember mmoja humu anaitwa X PASTER na muuulize kama kwenye hifadhi yake anacho hicho kitabu....
ngoja nim-pm pia nakumbuka aliwahi kunipa kitabu cha c++.

Mkuu kuna site inaitwa half.com enzi zangu za uanafunzi nilikuwa ninakimbilia huko kununua vitabu kwa bei nafuu na kusave hela. N'ways nimekitafuta kitabu chako na kipo kwa $20. Fuatilia hii link.

Half.com: Principles of Aquaculture by Robert R. Stickney (1994, Hardcover)(9780471578567): Robert R. Stickney: Books
jamiiforums bwana nikiboko yao. Nashkuru sana mkubwa.

Kwenye Amazons unaweza kupata bei rahisi ya hiyo. Vile vile kuna encyclopaedia ya aquaculture inayopatikana bure hapa: request download ticket | ifile.it, pengine utahitajika kuitafuta kwanza. Fuatilia maelezo hapo chini.
Na kwa wengine wote wanaotaka free ebooks wanaweza kupitia hapa: welcome - library.nu. Unabofya tu na kutafuta kitabu unachokitaka. Baadae unabofya kwenye kitabu, pakishafunguka unaingia kwenye ifile.it ambako utapelekwa kwenye "request download ticket" baade unadownload.
Kila la heri.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom