Nahitaji Mpenzi wa kike, niko Mwanza

AMA KWEL MATAHIRA NI WENGI, HIVI HUWA TUNAONA KUWA MPAKA MTU ATEMBEE UCHI NDO KICHAA? HATA HUYU KISAIKOLOJI NI KICHAA, ETI ANATAFUTA MPENZI, SIFA ZAKE NEW ZIRO BRAIN. ACHA UPUUZI TAFUTA HUKO, SUBIR SIKU MWANAMUZIKI YOYOTE AKIJA PALE KIRUMBA STADIUM HESEBU MADEM WOTE WATAKAOINGIA UWANJAN NA HATA WALE WANOTEGA WATU NJE YA UWANJA KISHA CHAGUA 20. ACHA USHAMBA WAKO. WE!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: lup
Kirumba sehemu gani? au mtaa upi? Twiga, Pemba, Vijana, Kabuhoro, kigoto, Songambele, Ibanda, Mlima wa Sabato, Mwembesangara, Magomeni, Ngara au wapi sema baba tukutafute fasta
 
Mbona sijapata anayemaanisha..hata yule tuliyepanga kuonana naye ameingia miti...dah!!
 
Naomba unisadie maelezo ya shule hii Ibugilo sec iko maeneo gani ndayi ya mwanza wanavaa sare gani? msadaaa tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: lup
Naomba unisadie maelezo ya shule hii Ibugilo sec iko maeneo gani ndayi ya mwanza wanavaa sare gani? msadaaa tafadhali
Rafiki nimefatilia nimepata ilipo...IPO maeneo ya maduka Tisa, nje kidogo ya mji wa mwanza.kuhusu sare wanavaa chini rangi ya damu ya mzee na shati jeupe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anawazo zuri tatizo ni namna ya kuwakilisha lakini nimebaini kwamba wanaume wengi tunapenda kuwa na wapenzi lakini siyo wale wanaouza barabarani 15000 sijui ni kwa nini mpaka mtudanganye kidogo oooh nipo single hapo lazima ununuliwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom