nahitaji mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nahitaji mkopo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mtende, Feb 3, 2012.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  wadau naombeni msaada maana naona maisha hayaendi,kazi sijapata kila nimejaribu kuapply lakini wapi,sasa nahitaji mkoo wa shilingi milioni mbili na nusu nifanye japo kabiashara kadogo niweze kuendesha maisha hapa mjini please nisaidieni hata vyeti vyangu ntaweka rehani ili mnipe huo mkopo, naamini mpo wengi mnaohitaji mkopo kama mimi sema tu tumetofautiana viwango
  i am serious nisaidieni
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Kama uko serious hauhitaji kusema kwamba uko serious...vipi hujiamini?
   
 3. A

  AMBUJE Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  life tight kwa kila mtu, komaa tu mzazi

   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Join in group, go for loan, otherwise vigezo na masharti vitakuumiza!!
   
 5. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,390
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Sikiliza ile nyimbo ya stamina inaitwa Sikati tamaaa!!!
   
 6. chubulunge

  chubulunge Senior Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  how much
   
 7. saidsaid217

  saidsaid217 Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nivzur ungetaja na biashara unayoiwazia kuifanya ili tuingize ktk compitition ya soko la biashara saiz.
   
 8. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  milioni mbili na nusu
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  najiamini ndo maana nimetuma hii post hapa
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  dhamana..?
   
 11. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  wewe mwanamke au mwanaume??
   
 12. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  ina maana jinsia ni kigezo?
   
 13. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  vyeti vya shule
   
 14. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pole sana, kwa kweli hali ngumu kwa graduate wengi sana. Soko la ajira halina uwezo wa kuwachukua wote, wakati mitaji kwa wanaotaka kujiajiri haionekani. Hapa Tanzania bado sijaona Bank inyotoa Start Up capital kama Mkopo, hivyo challenge inakuwa kuwa zaidi.

  Na kwa kiwango unachotaka wewe, usilogwe ukachukua kwa wale informal money lenders (wa 20% kwa mwezi) kwa watakufilisi kabisa. Cha kufanya ni kuwatemelea hawa watu MYC4 kwenye web yao; www.myc4.com, Huko utakutana na wakopeshaji wengi sana watakaogombania idea yako kama mnadani. (wewe ndio utachagua interest unayoimudu.). Cha msingi ni wewe kufungua account yako kwenye hiyo web halafu unaupload plan yako. Iwe nzuri, inayovutia (Si kushauri uonyeshe kuwa, ugumu wa maisha ya hapa mjini ndio umekusukuma kuanzisha hiyo biashara.

  Sina hakika kama watachukua hivyo vyeti kama dhamana, but ninavojua unaweza kutoa dhamana ya vitu vidogo vidogo kama vitendea kazi (mfano hiyo computer unayotumia n.k). Ukiona dhamana hazitoshi basi unaweza ukawashawishi kuweka vifaa utakavyonunua na huo mkopo kama dhamana. Hii kitaalamu wanaita Finance Leasing.

  Kila la heri
   
 15. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  thanks much,
  yeah si ugumu wa maisha ila natafuta starting point to reach somewhere let me try,thanks again
   
 16. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  You are welcome Mtende. Ulitaka uanze na biashara gani? Ninaweza nikakutumia business plan itakayokusaidia
   
 17. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nakushauri ujiunge kwenye SACCOS itakuwa rahisi kupata mkopo. Mabenki mengi yana masharti na vigezo vingi, mfano kudhaminiwa na mwajiri, kuwa na leseni ya biashara, ila SACCOS masharti ni nafuu. Wadhamini wawili wanachama wanatosha.
   
 18. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu upo sahihi kabisa, Saccos zinasaidia sana lakini mikopo ya Saccos nayo ina masharti yake pia (hasa hizi za wafanyabiashara na wakulima). Nyingi utatakiwa uwe na HISA, (kama 10% ya mkopo unaohitaji), vilevile utatakiwa uweke akiba ya lazima (almost 25% ya mkopo unaotaka ndio upate hela). Bado muda utakaotakiwa usubiri kama kwani mwanchama Mpya hawezi kujiunga tu na kuomba mkopo (atleast 3 months)

  Mimi nimefanya utafiti, na nimegundua kuwa mikopo ya Benki kama NMB ina masharti rahisi na riba rafiki kuliko Saccos nyingi unazoziona. Ugumu pekee ninaouona kwenye mikopo ya NMB ni suala la kutaka wakopaji waliodumu kwenye biashara kwa kipindi fulani (hii si tatizo kwa wajuzi wa mambo kwani wengi wana-doctor hizo sales report na kuzi-backdate),
   
 19. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  me,ningekusidia,sema,hiyo,insu,ya,kuweka,nyeti.rehani,nashindwa,kukuamin,namna,ya,kurudisha,huo,mkopo!!!
   
 20. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hiyo red ndio nini sasa mkuu? Yeye amesema vyeti. Halafu kama unalengo la kufanya nae biashara/kumsaidia bado option hazijaisha. Unaweza kuomba dhamana ya vitendea kazi atakavyonunua kwa mkopo huo na mambo yakaenda
   
Loading...