Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa mtu binafsi (Dar es Salaam)

Hongera unaezijua zimekusaidia nini mpaka sasa?

Ukiulizwa apply pythagoras theory in real life utaweza?
Unakaririshwa usichokitumia katika maisha yako
Ndio maana mmejazana kulilia ajira
Soma kitu kitakachokusaidia hata kujiajiri
Umewahi kuona aliyesoma sheria analialia kama mliokaririshwa mahesabu

Kalale ukue
Imenisaidia kama hivi, kujua riba itakayolipwa kwenye 2M

Halafu mkuu, kwenye hesabu kila topic ina msaada kwenye kada husika, kama wewe huoni umuhim wa Pythagoras theory, wapo ambao wanaitumia kwenye career zao!
 
Iko good nidhamu imeongezeka

Ila siku hizi sipokei kadi tena japo naziblock TRA ila sipokei aiseee.
Lazima kadi iambatane na gari ili tusitafutane.
Wewe ndiye yule Dada wa sinza mkopeshaji???
 
Tatizo wakopeshaj mna riba kubwa sana ndio maana mara nyng mnalizwa.Yani km nataka mtajirike kwa matatizo ya wenzenu.
Kuna mtu nilikua nilimuomba anikope ananiambia riba %50.Sasa mtu km hyu si anakutafuta lawama tu.Na mtu km hyu akipigwa sawa tu.
 
A see tujitahidi kufanya saving-Wanao to a Mikopo Tanzania hivyo vitaasisi+banks ni shida kuanzia kwenye riba mpaka kwenye collateral.

Juzi nilihitaji mkopo wa 2M,wakaniambie niwape Kadi ya gari au Hati ya Kiwanja ambacho wanakwenda wanabadikisha umliki TRA.Gharama za kubadilisha umiliki+Insurance+car track charges zote juu yako na Mkopo ulipe ndani ya mwezi mmoja kwa riba ya 20%.

Hivyo vitu vyote gharama yake nilipigiwa hesabu ni kama 220,000 mkononi wananipa 1,780,000.Mwisho wa mwezi baada ya mkopo kuiva natakiwa kurejesha 2,400,000 nikijumuisha na 220,000 nakuwa nimerejesha 2,620,000.Nilijiapia bora nile ugali na mrenda mwaka mzima kuliko kufanya huo ujinga
 
Na wanaonea sana mikopo midogo

Kuna micro finance tegeta wale ukikopa million moja riba ni karibu laki sita japo ni kwa mwaka
Njoo kwenye collateral sasa hati ya nyumba kadi ya gari
Hawaangalii mkopo mdogo au mkubwa
 
Ila ki ukweli, suluhisho ya hizi changamoto ni kujiunga Saccos.. Sehem ninapofanyia kazi tuna saccos ambayo riba ni 5%, na unaamua muda unaotaka kulipa mkopo ila isizidi miezi 36 na unaamua unataka uwe unarudisha sh ngapi kwa mwezi..
 
Back
Top Bottom