Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa mtu binafsi (Dar es Salaam)

Kawaone wazee wa mikopo sijui platinum wale na wengineo. Watakupatia pesa kwa hiyo collateral. Maana ni pesa ndogo. Ila mambo ya kukopeshana siku hizi raia huwa mnakuwa watata kulipa.

Tena mtu anakununia kabisa mkianza kudaiana na anakuwekea sura sasa me nitafanyaje kama hela sina usinichanganye bana.
Tunafanya maisha kuwa magumu sana kwa kukosa uaminifu
 
Wadau salaamu,

Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.

Dhamana:

1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)

2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)

Naomba wasiliana nami inbox.

Ahsanteni
Ingia kwa micro finance mbona zipo nyingi Sana. Mana mtu private hayuko certified kutoa mkopo kwa Mana mkizinguana kutolipa mkopo utampa kazi nyingine tena ya kupambana.
Ingia kwa waliokuwa certified kutoa mikopo.usitafute laana na lawama na machungu kwa mto hela.
Ingia kwa micro credit zipo nyingi kibao otherwise cheki mshkaji wako wa karibu anayekujua your behavioural financially ama ndugu yako.
Kwani hauna wafanyabiashara wenzako majirani wanaokufahamu mkuu ama unataka kuliuza kiujanja na engine imeroga
 
Wadau salaamu,

Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.

Dhamana:

1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)

2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)

Naomba wasiliana nami inbox.

Ahsanteni
Weka no yako ya simu au nitumie inbox
 
Naitamani hiyo riba ila..........nikiangalia pesa zilizopo nje mpaka zingine unasamehe

Nikushauri tu ndugu waone micro credits zipo nyingi na wengi miongoni mwa sharti kadi ya gari
Mfano pale makumbusho
Wengine platinum credits n.k
kasema anahitaji kwa mtu na sio taasisi
 
Kuna watu humu wanaongea kirahisi tuu eti nenda micro credit utapata pesa kifupi taasisi za fedha zote zilizopo Tanzania zinafanya kazinna mtu mmoja tuu ambae n serikali.

Wapo tayari wamkopeshe mfanyakazi wa serikali ambae anamkopo bank bado mikopo umiza Kama mitatu sababu wanajua huyu anaenda kutumia aendi kuzalisha ndomana wanampa Tena dhamana ya kijinga kweli.

Wewe mpambanaji uwe hata na Biashara ya 20m bila Nyumba yenye hati aisee hata million hupati ata ku-overdraft tuu n mtiti yaan, kingine uwe mfanyakazi wa private sector hata uwaonyeshe salary slip na bank statement kuwa kila mwezi unapata take home ya 4m mzee hupati pesa unaambiwa Mambo ya kimaku hatari.

Nyie ma loan oficer mkiona watu wanabiashara zao zimesimama wamejenga na mzunguko huko bank unasoma vizuri msianze kujipendekeza.

Mjasiriamali wa Tanzania anakua kwa ngufu zake mwenyewe.

Wakija matapele kutoka nje eti kisa wanaproposal nzuri na mikataba ya Biashara fake serikali au mashirika ya serikali wanawadhamini kiukweli tupambane bila kuchoka ingewezekana pesa zangu nisiweke bank kabisa sema ndo haiwezekani tuu.

Wapambanaji msichoke mkiona vidada vya bank vinapiga simu au wanakuja kukutembelea ujue Sasa wamekuona mcharo watoe baruti.
 
Wadau salaamu,

Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.

Dhamana:

1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)

2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)

Naomba wasiliana nami inbox.

Ahsanteni

Mtu binafsi wakati wa kupambana ataulizwa leseni ya Biashara
 
Mkuu, wewe na ukubwa wako wa over 18 hujui hesabu, the rest is story!? BTW, fb ndio kidudu gani!?
Hongera unaezijua zimekusaidia nini mpaka sasa?

Ukiulizwa apply pythagoras theory in real life utaweza?
Unakaririshwa usichokitumia katika maisha yako
Ndio maana mmejazana kulilia ajira
Soma kitu kitakachokusaidia hata kujiajiri
Umewahi kuona aliyesoma sheria analialia kama mliokaririshwa mahesabu

Kalale ukue
 
Ukipita humo barabarani Kuna taasisi kibao zimeweka mabango ya mikopo ya haraka..moja ya masharti ya dhamana nj Gari...uzuri wa taasisi unapata riba mdogo....halafu kwenu nyie wakopeshaji binafsi mnahatari kubwa ya kupoteza fedha zenu kwasababu hamjajisajili na Ni kosa kufanya biashara ya microfinance bila kibali Maana haulipi kodi na haufuati taratibu za kukopesha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wadau salaamu,

Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.

Dhamana:

1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)

2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)

Naomba wasiliana nami inbox.

Ahsanteni

Nitumie picha za hilo gari Boss
 
Back
Top Bottom