Nahitaji Mkopo bank kwa kuweka dhamana nyumba

Bonikita

Member
Jun 10, 2015
6
2
Habari wakuu,mi ni mfanyabiashara mdogo kariakoo natumia kitambulisho cha mfanyabiashara.

Biashara yangu ina wateja wengi kiasi kwamba mzgo naokuwa nao hautoshi nimefikiria kwenda kukopa bank niweke dhamana nyumba ila nyumba iko mkoani.

Naomba kwa yeyote anaefahamu kuhusu mikopo anipe muongozo tafadhari.
 
Kakope ilipo nyumba comrade
Habari wakuu,mi ni mfanyabiashara mdogo kariakoo natumia kitambulisho cha mfanyabiashara.Biashara yangu ina wateja wengi kiasi kwamba mzgo naokuwa nao hautoshi nimefikiria kwenda kukopa bank niweke dhamana nyumba ila nyumba iko mkoani,naomba kwa yeyote anaefahamu kuhusu mikopo anipe muongozo tafadhari
 
Habari wakuu,mi ni mfanyabiashara mdogo kariakoo natumia kitambulisho cha mfanyabiashara.

Biashara yangu ina wateja wengi kiasi kwamba mzgo naokuwa nao hautoshi nimefikiria kwenda kukopa bank niweke dhamana nyumba ila nyumba iko mkoani.

Naomba kwa yeyote anaefahamu kuhusu mikopo anipe muongozo tafadhari.
Nitajie namb za hiyo kiwanja
 
Ndio ina hati
Nenda bank iliyopo maeneo (wilaya) ilipo nyumba,watakagua documents na nyumba husika.
Biashara itakaguliwa na bank(tawi) iliyopo karibu na eneo husika, mwisho watakushauri uombe mkopo kupitia tawi lipi kati ya hayo mawili.
 
Kama unayo nyumba ina hati ni vizuri, Lakini kupata mkopo inakubidi usajili biashara yako ifahamike, Uwe na leseni ya biashara na utambulisho wa mlipa kodi(TIN)

Hio biashara iwe imejiendesha zaidi miezi sita, Ukishatimiza hayo masharti, Chukua hatua nenda kwa wakopeshaji utapata mkopo, Zingatia bank hazikopeshi mtu ambae anaenda kuanzisha biashara
 
Kwa biashara yako unataka kujitia kwenye matatizo ya kupoteza nyumba...inamaana unafanya biashara hujajiunga hata kwenye vikundi mbalimbali vya kukopeshana au hata saccos? Kopa hata kwa watu binafsi hata kwa riba umiza kama unauhakika na biashara yako utazirudisha tu ila kwa unachotaka kufanya kwenye hiyo nyumba utasema ulirogwa
 
Asante kwa ushauri mzuri ndugu
 
Back
Top Bottom