Nahitaji mke aliye serious wa aina hii

Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,774
4,269
Awe mwanamke...uzuri wa sura sio muhimu sana ila angalau awe na akili timamu.

Dini yoyote ila awe tayari kuwa mkristo au tufunge ya bomani.

Umri kuanzia 18 hadi umri wowote ule wa uhai.

Sijali idadi ya watoto alionao. Na sijali kama hajawahi kuolewa au ni mjane au katoroka kwa mumewe.

Mimi ninahitaji mke ambaye tutaelewana na kuweka mipango ya maisha.

Mimi umri 32
Mrefu, mnene kiasi. Nimeajiriwa kampuni ya ukandarasi hua tunafanyia service visima vya mafuta (sheli).

Njoo PM nikupe contacts
 
Huku kuna mmoja, sijui kama utamtaka maana ameachwa mara5. Ana miaka 25 na aliolewa kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 20
 
Mkuu hongera kwa uamuzi wa kutaka kuachana na ukapela, lakini think twice kuhusu vigezo ulivoviweka.
Mfano umeacha mlango wazi hata kwa mwanamke aliyetoroka kwa mumewe, Je huoni kuwa kuna hatari ukaja jikuta umejiunganisha na familia ya mtu? Nakama hapa alifunga nae ndoa inayotambulika kisheria huoni kama unaweza kamatwa ugoni na kufilisiwa mpaka hiyo smartphone uliyoandikia thread hii?
 
Mkuu upo desperate sana.....au lengo lako utimize tu masharti ya mganga ya kuwa na mke ili mambo yako yaende mukide
 
Nawakaribisha jamani. Nahitaji niwe na mwenzangu tuondoane upweke
 
mwanaume huna rijali huna haja ya kuweka vigezo....kwanza elewa wanawake (Hawa) tumeumbiwa sisi wanaume (Adamu), so just say nahitaji mwenza jinsia ke.....baaassiii,,,, wacha waje huko ufanye choice......utawakosa walio bora sbb watajiona hawana vigezo.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom