Nahitaji mikanda ya kupunguza vitambi kwa wakina mama

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
846
514
Wakuu habari zenu?
Natumai mnaendelea vyema kulisukuma gurudumu la maisha hususani kipindi hiki cha huu ugonjwa wa corona.

Niende moja kwa moja kuhusu mada hapo juu, naomba kujuzwa bei ya jumla ya mikanda ya kupunguza vitambi kwa wakina mama hasa kipindi wanapotoka kujifungua. Kama nimekosea naomba kusahihishwa lakini dhumuni litakua limeeleweka.

Natanguliza Shukrani, Ahsanteni.
 
Mkuu unataka kufanya hiyo biashara au unataka kwa matumizi tu maana unakizia bei ya jumla?
 
Kwa urahisi zaidi naona ungeingia Instagram kwenyee page za wauzaji wa
hiyo mikanda utapata kitu kujua wanapochukulia

Pia unaweza muagiza faizaally kutoka china kwenye page ya faizanabiashara zake Ila ujipange mtaji,hatumi kwa wenye mitaji midogo.
 
Ahsante
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom