Nahitaji Miche/mbegu za muda mfupi za mastafeli na mafenesi

Mandison

Senior Member
Mar 10, 2017
191
109
Habari zenu wana JF.

Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kama kuna mbegu za muda mfupi za haya matunda ya stafeli na fenesi.

Pia naomba kujua matunda haya huchukua muda gani tangu kuoteshwa hadi kutoa matunda.
 
Nahitaji miche 2 ya parachichi mbegu fupi ya miaka 2,nihakikishie nikipanda kwenye ardhi ya Dar parachichi nitakula kweli?
parachichi zinastawi vizuri kabisa Dar.
tuna aina mbili za parachichi
1.Hass,hili ni parachichi ambalo ganda lake lina vipele vipele,na ni fupi(nene) kwa umbo.Mche sh 2500
2.Fuerte,hili ni parachichi ambalo ganda lake ni soft na ni refu kwa umbo,mche sh 2000
 
Nahitaji miche 2 ya parachichi mbegu fupi ya miaka 2,nihakikishie nikipanda kwenye ardhi ya Dar parachichi nitakula kweli?
IMG-20200901-WA0029.jpg

Fuerte
 
parachichi zinastawi vizuri kabisa Dar.
tuna aina mbili za parachichi
1.Hass,hili ni parachichi ambalo ganda lake lina vipele vipele,na ni fupi(nene) kwa umbo.Mche sh 2500
2.Fuerte,hili ni parachichi ambalo ganda lake ni soft na ni refu kwa umbo,mche sh 2000
Baada ya miaka mingapi nitaanza kula?
 
Back
Top Bottom