Nahitaji mfanyakazi mwenye ujuzi wa mifuko ya plastiki

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
Nahitaji mfanyakazi mwenye ujuzi wa machine ya kutengeneza mifuko kama hiyo hapo Chini, kazi iko nje ya nchi awe na pasport yake ready mshahara ntampa ofa nzuri,mwenye ujuzi wake tuwasiliane 0625979790 au pm
cbbc4d1dc64d7d40bc3ec10ac0ee8d7e.jpg


34afa4b21e93bc9e3db4553f29606137.jpg

c5e1fde18f815a67310a813c5b68edff.jpg

42e8f2510821dc8ac14d09f282717306.jpg
 
Back
Top Bottom