Mkandarasi Mkuu
Member
- Jan 22, 2021
- 12
- 13
Nina miaka 29, mfanyakazi kwenye NGO inayohusika na mambo ya UKIMWI, Nahitaji mchumba awe na umri kati ya miaka 18-25, awe hajawahi kuolewa asiwe na mtoto au watoto, asiwe mfupi sana maana ni changamoto, kabila lolote lile na dini yoyote ile ila awe tayari kuambatana na mimi kiimani, awe mcha Mungu na kuhusu kazi sio lazima awe na kazi au elimu kubwa kikubwa awe na uwezo wa kuendana na kasi yangu ya kimaendeleo.
Kwa aliye serious anakaribishwa
Kwa aliye serious anakaribishwa