Nahitaji mchumba (serious)

hamisi nondo

Senior Member
Aug 21, 2011
192
172
Vigezo

Sifa zangu, ,mbahili (sina matumizi yasiyo ya maana nahudumia mambo ya msingi tu).kwahiyo ukija na staili za kudanga kwang itakula kwako,,nina tamaa sana ya kutoka kimaisha hivyo nafanya kazi sana na sija ajiliwa nachakarika tu na mambo yangu binafsi..kuhakikisha maisha yanakua bora zaid

Sifa za mwanamke ninaye muhitaj

Awe miaka 22-26 ...dini yoyote nipo tayari kuwa upande wa dini yake.....cha muhimu zaidi nahitaj mtu ambaye pia ana tamaa kam mimi yani tupambane tusaidiane kimawazo.kiakili ili tutengeneze maisha ya familia yetu hapo tutakapojaaliwa...elimu yoyote tu sawa...kabila lolote tu sawa..ila tu asiwe kibonge hapana.awe na mwili wa kawaida tu..akiwa mrefu sawa,mfupi sawa..nasisitiza awe na akili ya maisha zaidi,.sio lazima na yeye awe na kaz ila hata akini support tu kwa kunipa motisha na faraja ili nizidi kupambana kufa na kupona kwa ajili ya maisha yetu inatosha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom