Nahitaji mbegu ya vitunguu maji

Foxhunters

Senior Member
Nov 25, 2019
122
67
kwa mkulima mzalishaji wa mbegu ya vitungu vyekundu led bombey or led creole . Nahitaji debe 1 la kupima kwa ndoo.
plan yangu ni kulima ekari tatu.

Location ya shamba ni Sumbawanga vijijini bonde la ziwa rukwa kwa sasa napatikana shinyanga ,ukinipa na offer ya bei itapendeza

Asanteni.
 
shamba+

habari wadau wa kilimo .....kwa sasa tiyari tushafungua whatsapp channel ya kusubscribe isave hii namba +27634444350 kisha ingia whatsapp na uitumie ujumbe wa neno la shamba+ kwa herufi ndogo hapo moja kwa moja utakuwa umesubscribe....

baadaye wadau wengi wa kilimo wakisha subscribe hii channel itakuwa inasaidia kutoa information kwa mfano mkulima akiingia na kuulizia masuala ya pembejeo au bwana shamba basi moja kwa moja ataweza kupata jibu hapo hapo kupitia bwana shamba aliye hewani kwa mda husika...pia unaweza kufollow page yetu instagram shambaplus_

kwa maelekezo zaidi unaweza kunipigia 0692449416
 
kwa mkulima mzalishaji wa mbegu ya vitungu vyekundu led bombey or led creole . Nahitaji debe 1 la kupima kwa ndoo.
plan yangu ni kulima ekari tatu.

Location ya shamba ni Sumbawanga vijijini bonde la ziwa rukwa kwa sasa napatikana shinyanga ,ukinipa na offer ya bei itapendeza

Asanteni.
nicheck 0692449416

kuna connection
 
Sasa shida yako ni mbegu ama? maana hilo sharti la kupima na ndoo sijaelewa, ina maana kama kuna mbegu za kwenye pakiti hautohitaji?.
 
kwa mkulima mzalishaji wa mbegu ya vitungu vyekundu led bombey or led creole . Nahitaji debe 1 la kupima kwa ndoo.
plan yangu ni kulima ekari tatu.

Location ya shamba ni Sumbawanga vijijini bonde la ziwa rukwa kwa sasa napatikana shinyanga ,ukinipa na offer ya bei itapendeza

Asanteni.
Jipange ununue mbegu za kwenye makopo Mkuu achana na mbegu za kupimiwa utauziwa mbegu zisizo nzuri dhaifu mbegu za kulima ekari 3 si chini ya laki 5 .
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom