Nahitaji mawasiliano ya Interchick Tanzania

Utanijua

JF-Expert Member
May 4, 2011
225
136
Habarini wanajamii... Naomba kwa anaefahamu mawasiliano ya kampuni ya Interchick Tanzania.. Zaidi ya email yao na namba ya simu ya TTCL..nimejaribu kutumia mawasiliano hayo hayana majibu... . Naamini humu naweza kupata mawasiliano sahihi... Asanteni
 
Sidhani kama watajisumbua kukutafuta! Wale jamaa wana wateja wengi wanaogombania kuku wao! Yani ukienda saa kumi na mbili huwezi pata vifaranga. Wote wanakuwa washachukuliwa. Sasa wewe endelea kubaki huko huko mkoani huku ukiwatafuta kwa simu!
 
Asante kwa ushauri Mkuu
 
Habarini wanajamii... Naomba kwa anaefahamu mawasiliano ya kampuni ya Interchick Tanzania.. Zaidi ya email yao na namba ya simu ya TTCL..nimejaribu kutumia mawasiliano hayo hayana majibu... . Naamini humu naweza kupata mawasiliano sahihi... Asanteni

Mwamba ulifanikiwa? Kama bado nijulishe naweza kukusaidia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom