Nahitaji mashine za kukata dize za carton na box boards

Bulichekah

Member
Jan 12, 2014
68
185
Nawasalimu nyote.

Kama mada inajielezea, naombeni wanajamvi mnisaidie sehemu ya kupata mashine ya kukata mabox na box boards kwa ajili ya keki.

Nipo Mkoa wa Geita takriban mwaka na zaidi sasa na nimeona kuna fursa ya kuuza mabox ya size tofauti tofauti pamoja na base board za kuwekea keki wanapokuwa wanapamba.

Hapa hakuna supplier wa hii huduma. Naomba Kama kuna mtu anayefahamu mahali naweza kupata hizi mashine za aina mbili hapa Tanzania anielekeze tafadhali.

Ndugu zangu naomba saaana.

Asanteni
 
Back
Top Bottom