Nahitaji mashine ya kufulia nguo mpya au iliyotumika

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,109
2,752
Hello Wana JF. Naombeni mwenye kujua duka ambalo wanauza machine za kufulia nguo Kwa bei nafuu kidogo Kwa mkoa wa DARESALAAM please Naombeni mnipe contact zao .Au kama Kuna mtu anayeuza iliyotumika aniuzie please .Nahitaji Kg 10 ,
Asante sana wanandugu wapendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei rahisi ni ipi? Nilinunua yangu automatic kwa 450,000/= kg 8 brand ya Simsung toka Mwaka 2015 Hadi leo haijawahi kusumbua chochote na inafanyishwa kazi mpaka kuna muda naiombea likizo

mkuu hiyo mashine kweli ni automatic kwa hiyo bei, maana samsung automatic kg7 zinachezea 750k. Hiyo inafua, inasuuza, na kukausha pasipo wewe kushiriki kwa chochote?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom