Nahitaji Mashamba nje ya mji ya bei nafuu.

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Kama kichwa cha habar kinavyosema.
Nje ya mji kama nje ya mji wa Morogoro,
Dodoma, Pwani au Mbeya au sehemu yoyote ila iwe inafikika kirahisi.
Natanguliza shukrani..
 
...yapo bagamoyo njia ya msata,kama unahitaji gonga pm nikuunganishe na wauzaji...
 
hayo ya laki 1 yanauzwa au yanakodishwa?katika ununuzi,je serikali ya Mtaa inahusika au?
 
Hayo yalikuwa yanakodishwa na ni kwa kilimo cha mahindi si mpunga na kwa sasa yameshachukuliwa. Nikipata tena kwa bei hii nitakujulisha.

hayo ya laki 1 yanauzwa au yanakodishwa?katika ununuzi,je serikali ya Mtaa inahusika au?
 
Habari za leo.mashamba yapo ya bei nafuu kwa sehemu unazotaka.bei yake kuanzia milion 6 mwisho milion 5 kwa heka.wasiana nami'mch frank ndunguru-simu.0684934612.asante
 
Kama kichwa cha habar kinavyosema.
Nje ya mji kama nje ya mji wa Morogoro,
Dodoma, Pwani au Mbeya au sehemu yoyote ila iwe inafikika kirahisi.
Natanguliza shukrani..

...mkuu vipi kama bado unahitaji shamba sema niwambie vijana waje wakuonyeshe.zipo eka 100...
 
kaka hayo mashamba yapo sehem gani hapo bagamoyo? naomba kujua then tutawasiliana zaidi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom