Nahitaji Magazeti ya Sani

Fernando sucre

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
293
344
Nahitaji gazeti au magazeti ya sani .kama unalo/unayo au unaweza ni direct pa kuyapata njoo dm na offer yako.
IMG-20211119-WA0023.jpg
 
Watafuta ukoo wa Banjwii, nadhani watakuwa nayo kwenye maktaba zao,,, sani mwenyewe alifariki miezi miwili iliyopita kama sikosei(SS Bawji)
Said Bawji aliyekua Mhariri Mkuu wa gazeti la Sani alifariki zaidi ya miaka ishirini au ishirini na tano iliyopita. Kijiti aliachiwa mdogo wake anaitwa Athuman Bawji.

Yale maono aliyokua nayo marehemu Said ya kulifanya gazeti la Sani kua la kuburudishi kidogo yalitetereka baada ya kifo chake

Kuna wakati miaka ya 2000s gazeti hili likaingia kwenye mtego wa kua miongoni mwa magazeti ya udaku yakichafua watu bila ushahidi kama yalivyo yale magazeti ya Shigongo na kuacha dhima yake ya kuburudisha kwa staha na ubunifu kama ilivyokua lengo la marehemu Said

Hata hivyo kama unataka nakala za nyuma/mwanzo za magazeti hayo basi muone Athumani Bawji. Kuna wakati ofisi zao zilikua pale Ilala Shaurimoyo kwenye maduka ya Spare za magari za mitumba jengo la shule ya Al Haramain
 
Pia SANI ni neno lilitokana na waanzilishi wa gazeti hilo,SAid bawji na NIco ye mbajo.
Nico nae amefariki wiki iliyopita amepumzishwa tarehe 17 november
Screenshot_20211122-074450_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom