Hakuna mtu wa hivyoMkuu Kuna mtu mmoja anaitwa biashara China mtafute uyo utapta mpya kutoka kiwandani from china
Kuna mtu wa vipi mkuu??Hakuna mtu wa hivyo
Mie Sijui Mkuu,Kuna mtu wa vipi mkuu??
Ahaaa uyo mtu yupo insta akamuangalie tuu....Mie Sijui Mkuu,
Ila tafuta kama utampata. By the way njia nzuri ya kumuunganisha mtu humu ni kum tag
Anhaa, Sasa nimekumbuka, nilizan umesema amuangalie humuAhaaa uyo mtu yupo insta akamuangalie tuu....