Nahitaji mabinti kwa ajili ya kufanya shooting ya nyimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mabinti kwa ajili ya kufanya shooting ya nyimbo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by B.O.G, Feb 7, 2012.

 1. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  B Kubwa Production ina penda kuwatangazia kwamba inatafuta mabinti ambao watashiriki katika kushoot video mpya ya mziki ambayo inatarajiwa kutengenezwa hivi karibuni.
  contact :0718888840
   
 2. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Ule Wimbo wa JK Umeweka Historia Tanzania bado ulikuwa haujaufanyia Shooting kumbe duh!
  Humu wapo wengi ila Jiandae kuwatumia Tiketi kwa njia ya Western Union wengi wapo Japan UK USA Brazil...
  Hao Mabinti wanaoanzia umri gani...?
  Unatoa Dau kiasi gani nimshawishi Kongosho...
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Usitumie mwanya huo kuwachapa nao,mabinti kueni makini
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Pita Jolly Club, nasikia wamejaa, wala si wakutafuta.
   
 5. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Tartibuuuuuuuuuuuuu Ustaadhat huko kote na wewe wapajua oi...
   
 6. e

  emkey JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwanini usiwachukue dada zako na ndgu zako wa kike bila kumsahau mkeo au demu wako b
  wakenda kushuti hiyo vdeo?
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nenda Hongera au Ambiansy- pale Africa Sana wapo wa kumwaga.
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  be worry of spread of pandemic deseases
   
 9. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama na baba walitokea kwenye video yangu ya kwanza ,maana ili wahusu.nilikuwa nawashukuru kwa yote walio nitendea. video yangu ya pili dada na kaka walishiriki maana nyimbo ilikuwa ikiwaasa juu ya maisha yao ya sasa na yabaadae. nikiwa kwenye daladala napeleka video yangu ya pili kwenye kituo cha tv nilikutana na mrembo ambaye alinifanya nifurahie foleni ya dsm skuiyo maana, tuliongea mengi na kisha tukawa wapenzi baada ya mwezi mmoja. miezi mitatu baadaye huyu mpenzi wangu alishiriki kwenye video yangu iliyofuata kwa maana nilikuwa namsifia jinsi anavyo jua kunipenda. hivyo practicaly familia yangu yote imesha shiliki katika vdz angu. sasa ni wakati wa kuachana na undugulization nakuwapa nafasi wote ambao wana pendelea. kisha cjui kalender yako inasemaje , ila yakwangu inasema huu ni mwaka wa 2012 na kila m2 ana haki ya kufanya apendachio na kuwashirikisha wapendao na awapendao pasipo kuunja sheria .
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  shiliki = shiriki
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Dar kwetu pa asili sijaja hapa mie, wala wazee wangu, walala mababu na mabibi zangu.
   
Loading...