chris_gebo1
Member
- Apr 21, 2015
- 13
- 4
Wana jukwaa habari zenu, ningependa kupata msaada wenu kwa kuorodhesha baadhi ya shule za private zinazopatikana mitaa ya upanga dar es salaam n vizur zaid kama ntapata za secondary.
Ila tu usije kuwa unapanga kutekeleza Ugaidi Mkuuu pls pls malengo yawe yenye kheri.