Nahitaji list ya shule za secondary zinazopatikana Upanga, Dar es salaam

chris_gebo1

Member
Apr 21, 2015
13
4
Wana jukwaa habari zenu, ningependa kupata msaada wenu kwa kuorodhesha baadhi ya shule za private zinazopatikana mitaa ya upanga dar es salaam n vizur zaid kama ntapata za secondary.
 
Ila tu usije kuwa unapanga kutekeleza Ugaidi Mkuuu pls pls malengo yawe yenye kheri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom