iwe inakaa na chaji mwenye nayo pleas tuwasiliane
hii mi ndio naona iko sawa kwa mnunuaji hiyo bei iko fair,ukilinganisha na specs zakeninayo laptop mkuu,, dell inspiron, inakaa na charge up to 4 hourz, ni 500gb harddisk, 4gb ram na 2.4ghz dual core processor,,, bei 750,000 only