Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 177
Habari wakuu, nahitaji laptop kwa anaeuza yenye specification zifuatazo hard disc 500gb, 4 ram, processor core i3. Bajeti yangu ni laki 4. Kwa aliyenayo naomba anicheki nipo mwanza. 0752425604
Duh hiyo kubwa sana mkuuHp. .cor i5
Mkuu hiyo mashine ni Mpya? na inapatkana wap?Duh hiyo kubwa sana mkuu
Naihitaji hii, ni PM price na model yake!Ninayo dell core i 5 ram 8 GB hard disk 1TB
Hyo dell sh ngap mkuu?Ninayo dell core i 5 ram 8 GB hard disk 1TB
Mkuu huu mtambo unaenda ngapi ......??Ninayo dell core i 5 ram 8 GB hard disk 1TB
Duh kumbe upo dar mkuu@lundun, I wish ungekuwa mwanza400k check me 0675990776 nipo dar
Mkuu samahani nilichanganya Madesa!!Mkuu umeniuliza mimi tena ambae ni mtafutaji kama wewe badala ya kumuuliza kulangwa22 ndiyo anaeiuza hiyo laptop
Mkuu hyo mashine ipo katika hali gan na inapatikanaje? kama ni mpya tufanye biashara!Hp. .cor i5
Sio mpya nimetumia km miez 9Mkuu hyo mashine ipo katika hali gan na inapatikanaje? kama ni mpya tufanye biashara!
Ila ipo safi kabisa nicheki pmMkuu hyo mashine ipo katika hali gan na inapatikanaje? kama ni mpya tufanye biashara!
used au mpya?sony vaio, intel core 2, duo cpu, cd, p860, 2.4ghz, 4gbram, 32bit, 320gb, windows 7 ultimate (250,000tshs)