Nahitaji laptop wakuu

Dodoma moja

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
307
175
Habari wakuu, nahitaji laptop kwa anaeuza yenye specification zifuatazo hard disc 500gb, 4 ram, processor core i3. Bajeti yangu ni laki 4. Kwa aliyenayo naomba anicheki nipo mwanza. 0752425604
 
Mkuu umeniuliza mimi tena ambae ni mtafutaji kama wewe badala ya kumuuliza kulangwa22 ndiyo anaeiuza hiyo laptop
 
Nauza lenovo dual core,ram 2GB na HDD 500GB...ipo kwenye condition nzur sana...bei na picha inbox
 
Waswahili bwana..! mtu katoa mahitaji yake juu aina ya laptop anayo ihitaji, sasa haya ya mimi ninayo hii au ile ya nini wakati haiendani na dhumuni la muhitaji.?! kama huna anayo ihitaji si bora kukaa kimya.
 
sony vaio, intel core 2, duo cpu, cd, p860, 2.4ghz, 4gbram, 32bit, 320gb, windows 7 ultimate (250,000tshs)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom