Nahitaji laptop mpya yenye linuxmint os

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,554
husika na heading iwe na specifications hizi..
ram 4 gb
hdd 320 nakuendelea
iwe mpya tokea kenye box.. maduka yanahitajika zaidi..
Stefano Mtangoo chief-mkwawa C6 na wengine wote..
 
Last edited by a moderator:
Nenda Mitaa ya Posta kuna maduka mengi tu (Majina nimeyasahau ni muda kidogo). Ila sahau kukuta Mint ipo. Downloa mwenyewe au tafuta mtu akuwekee kwa namna unayotaka. Version mpya haina hata week tangu imetoka!
 
kwa hiyo ni ngumu kuzipata laptop zilikuja na hizo os..
 
husika na heading iwe na specifications hizi..
ram 4 gb
hdd 320 nakuendelea
iwe mpya tokea kenye box.. maduka yanahitajika zaidi..
Stefano Mtangoo chief-mkwawa C6 na wengine wote..

zipo ambazo zinakuja na mint au ubuntu ila ni hizihizi kama zingine. ila nunua laptop yenye specification unazopenda kisha download mint iweke kwenye usb stick kisha install. nadhani hii ni option rahisi kuliko kutafuta itakuchukua muda
 
Last edited by a moderator:
zipo ambazo zinakuja na mint au ubuntu ila ni hizihizi kama zingine. ila nunua laptop yenye specification unazopenda kisha download mint iweke kwenye usb stick kisha install. nadhani hii ni option rahisi kuliko kutafuta itakuchukua muda
Zinazokuja na Ubuntu zipo nyingi kwa kuwa Ubuntu iko pushed na Big Company ila Mint sijaziona bado. Hii haina maana hazipo ila mimi sijaziona bado!
 
nimeona dell inspiron hizi zenye rough cover surface. pia kuna hp fulani ivi hazina kioo cha kung'aa zimewekewa label ya mint
 
zipo ambazo zinakuja na mint au ubuntu ila ni hizihizi kama zingine. ila nunua laptop yenye specification unazopenda kisha download mint iweke kwenye usb stick kisha install. nadhani hii ni option rahisi kuliko kutafuta itakuchukua muda
ndio hizo ninazozihitaji ngoja nikazisake kesho posta.. thanks for ur support
.
 
Kupata mashine inayokuja na mint itakua kazi kdgo ila kusaidia ukiweza kupata specs unazotaka 2waxiliane me ntakupatia cd ya mint free kabisa kama uko dar
 
os ya linuxmint 15 olivia ninayo ila nahitaji built-in yake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom