Nahitaji laini yangu iunganishwe katika vifurushi vya chuo

Kwanza wewe ni mwanachuo? Una kitambulisho?
Kama unakitambulisho valid cha mwanachuo ni simple sana ila kama unataka janja janja haitokusaidia ndugu. Sasa hivi sio kama zamani.
 
Back
Top Bottom