Nahitaji kuwasiliana na Waalimu wa Jangwani Sekondari... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kuwasiliana na Waalimu wa Jangwani Sekondari...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mtoboasiri, Apr 23, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...wa kike na wawe na at least first degree. Anaemfahamu japo mmoja ANI-PM tafadhali. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wa O level au A level?
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Yeyote tu, bora awe wa kike na graduate!
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Unataka kuwaambia nin?
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mmeanza! Hamna dogo watu nyie?!
  Kama uko serious, nahitaji candidates kwa ajili ya data collection ila sipo Dar na official channels zinani-frustrate!
   
 6. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Sasa kwa nini unasisitiza walimu wa kike wa Jangwani? Ummezingatia vigezo na masharti gani?
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwani wakiume hawawezi kukupa details??
   
 8. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  wewe unawafahamu!!
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Assuming wewe ni mwanaume, unaweza kumuuliza mwanafunzi kama akiwa period anapata shida ya concentration kwenye masomo yake? And if you are a man and stupid enough kuuliza swali la jinsi hiyo, unadhani wanafunzi wangapi wahusika watakupa jibu sahihi?
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Assuming wewe ni mwanaume, unaweza kumuuliza mwanafunzi kama akiwa period anapata shida ya concentration kwenye masomo yake? And if you are a man and stupid enough kuuliza swali la jinsi hiyo, unadhani wanafunzi wangapi wahusika watakupa jibu sahihi?
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mtoto au mtu mzima? Assuming wewe ni mtu mzima (kwa mental age sio chronological age), unadhani ningewafahamu ningeuliza?
   
Loading...