true
Kwahiyo tulio na masters haturuhusiwi?Kujua kusoma kuandika na kuhesabu.
Akili za kuunga unga ndio zikoje hizo?Kama JKT hata darasa la saba.. kwa form iv wanahitaji not less than iv ya 28
Adavance usiwe na zero tu..
Diploma pia ufaulu wowote...
Chuo kikuu ufaulu wowote pia...
KUBWA KUBWA ZAIDI UWE KIDOGO NA AKILI ZA KUUNGAUNGA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulitaka kuwa askari polisi hukutakiwa kujitesa kiasi hicho.
Kwahiyo ni nepotism?Dah kibongo bongo sidhani kama elimu ina maana huna mjomba poti ?
Hiyo ni moja ya ticket ya kuwa Polisi
Sent using Jamii Forums mobile app
nilitakiwa niishie la ngapi? nimejikuta nataka kuwa polisi kwa kipindi hiki!Kama ulitaka kuwa askari polisi hukutakiwa kujitesa kiasi hicho.
Kama JKT hata darasa la saba.. kwa form iv wanahitaji not less than iv ya 28
Adavance usiwe na zero tu..
Diploma pia ufaulu wowote...
Chuo kikuu ufaulu wowote pia...
KUBWA KUBWA ZAIDI UWE KIDOGO NA AKILI ZA KUUNGAUNGA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu toa huo ushauri hapa mkuu,Mtoa mada una elimu gani!! nataka nikushauri jambo pia embu achana na hayo mas*** hapo juu yanayo kupotosha
5/5
Ndugu,
Wasalaam...
Naomba kujuzwa, je, ninapaswa kuwa na ufaulu kiasi gani ili niwe polisi?
Wanahitaji mtu mwenye division ngapi? au mwenye elimu kiwango gani?
Sent using Jamii Forums mobile app