Nahitaji kuwa Mjasiria mali, msaada wenu tafadhali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kuwa Mjasiria mali, msaada wenu tafadhali.

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Mrimi, Feb 22, 2012.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hodi wenyeji!

  Habari zenu waungwana. Nina wazo la kuwa mjasiria mali ili niachane kabisa na mambo ya kutegemea mshahara wa mwisho wa mwezi. Tatizo ninalokumbana nalo ni ukosefu wa skills juu ya mambo haya. Nahitaji kutumia muda wangu mdogo ninaokuwa free baada ya kazi ktk kujipatia kipato cha ziada.

  Ninahitaji ushauri juu ya:

  1. Jinsi ya kubuni mradi kulingana na mtaji ( usiozidi 5m.)
  2. Vitu vya kuzingati wakati wa kubuni mradi huo.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Funguka zaidi,wewe upo wapi???
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa nipo mbeya(my 1st appointment) although muda mwingi nimekuwa tabora.

  Nadhani nimefunguka mkuu.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Kama teyari unafanya kazi full time nadhani unaweza kufikiria kuanzisha biashara ambayo sio lazima uwepo ili iende so Duka, Bar, Mgahawa etc. Kama una ujuzi fulani ambao watu wapo teyari kuulipia hiyo nayo sio idea mbaya ila mda unaweza ukawa tatizo.
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  MKUU KUNA KITU KINAITWA THREE Cs

  1. Commitment

  2. Capacity

  3. Confidence

  Mkuu bila kuwa na hivi vitu vitatu huwezi fanya chochote kwa sababu vinaenda pamoja.

  1. Commitment
  -Ili ufanikiwe lazima uwe na commitment ya kufa mtu mkuu, ni lazima ujicomit sana ni lazima ukubali either kudharauriwa, kutukanwa kusemwa sana, kulaumiwa na ndugu na jamaa na marafiki, Hata kama ungekuwa na pesa kiasi gani kama huna commitment huwezi fanya chochote kile,

  Ni lazima kujitoa mhanga, ni lazima kuscrifai mambo mengi sana, hapa some time utakuwa hata nyumbani huonekani, kijiweni watakuwa hawakuoni, familia yako itakumiss sana, ndugu zako utakuwa huwatembelei kama zamani, ni kwamba 85% ya akili zako i atakiwa ziwe kwenye biashara yako tu, na hizo zinazo bakia ndo zinagawanywa kwa familia, marafiki na kazalika

  2. Capacity
  Ni lazima uwe na uwezo wa kufanya hiyo kitu unayo tarajia kuifanya, bila kuwa na uwezo hutaweza kufanya chochote. capacity hapa ni pamoja na Capital, Education, afya yako mwenyewe na vingine vingi

  3. Confidence
  - Ni lazima uwe na confidence ya kufanya kitu, ukiingia katika biashara na mioyo miwili yaani unaanzisha biashara huku unawaza kufilisika au unawaza kwamba ukipata kazi ya kuajiliwa inyo lia utaachana na business, mkuu hutafankiwa, so ni lazima uwe na confidence na ijitahidi ku build hiyo confidence
  Laima ujiamni kwamba utaweza kufanikiwa tu, hata kama watakusema sana wewe amini kabisa utafanikiwa, amini postively kwamba your going to make,

  UKISHA KUWA NA HIZO C TATU NDO UNAWEZA FANYA HAYO MENGINE IKIWEMO KUBUNI MILADI YA KUFANYA,
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Jamaa kamaliza!
  Sasa ukitaka kujua aina ya biashara rudi hapa jamaa wapo watakupa maaidia,
   
 7. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  By the way im a dr. Ila kiukweli most of the time natumika sana kazini. Kwa kiasi kikubwa kama nitaanzisha business, it means lazima nitatakiwa kuajiri mtu wa kuiendesha.
   
 8. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nimekusoma mkuu.
  Ujue hadi nimeamua kuomba ushauri, means inabidi niwe in for it.
   
 9. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Unaweza kuwa na commitment, capacity, confidence + MTAJI usifanikiwe kabisa!! Ngoja nilale kesho nitakuja kukushushia material.
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  I can't wait to see you back!
  Good night. Ila usisahau kufunga mlango!
   
 11. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280

  1. Je unajua maanna ya C hizo tatu kwa undani zaidi?

  2. Unajua Capacity inajumuisha mambo gani?

  3. Mbona unataja mtaji na wakti uko kwenye hiyo C ya capacity?

  Three Cs hakuna inacho acha nje hata kimoja,

  Huo mtaji ulio andika uko kwenye Cpacity mkuua u wewe capacity unayo ongelea ina jumuisha njini?

  CAPACITY INAJUMUISHA HIVI VITY

  1. Capital uliyonayo wewe- mtaji, mikopo na grant mabalimbali

  2. Afya yako- Bila kuwa na afya mkuu huwezi fanya chochote kile, afya ndo muhimu kwanza

  2. Good business aidea iko humu kwenye Capacity
  - Aidea ya biashara ndo mtaji wako wa kwanza, so ni lazima uwe na sound business aidea na sio business aidea tu, ni lazima uwe na aidea inayo jiuza yenyewe ambayo ukienda kuipresent mahali fulani watu wataku apreciate sana,

  3. Business skills mfano
  - Marketing skill- uweze kudil na masoko ya bidhaa zako

  - Sales skill- Lazima ujue utauza vipi biadhaa zako/ huduma yako

  - Negotiantion skills- Laima uwe unajua kufanya negotiantion mbalimbali za kibiashara

  - Managment skills- Utakapo kuwa hata na wafanya kazi wawili jua basi kuwa manage

  - Comnication skills- Hii ni muhimu sana ujue jinsi ya kuwasiliana na washika dau wako, si maanisha kingereza

  - Personal skill- Skill yako mwenyewe kama mkrugenzi

  - Leadership skill

  - Financial know- how- Lazima ujue kumanage pesa za biashara, ujue kutenganisha biashara na familia

  - Self mtivation skills- Lazima uweze kujimotvate wewe mwenyewe ili uweze kusaonga mbele

  - Time managment skills- Kama hujui kumage time basi hufai kuwa mjasirimali, ni lazima uwe na ratiba ya
  muda wa biashara na muda wa kufanya mambo yasiyo ya kibiashara, usichanganye mambo, yaani muda wa biashara ndo muda wa kupokea wageni wa kuja tu kukusalimi na kuja kupiga porojo zisizo kuwa na maana yoyote ile

  Hizo ni baadth ya skills ambazo unatakiwa kuwa nazo nazote zinabebwa kwenye Capacity, na hii capacity injumuisha elimu ya wewe hata kuchagua eneo zuri la kuweka business yako.

  Mkuu ene way mwaga hizo zoko ili utusaidie na sisi wengine make humu ni kusaidiana hakuna anaye jua

  NA CAPACITY LAZIMA IPATE SAPOTI YA COMMITMENT NA CONFIDENCE, SASA KAMA UNA HIVI VYOTE HALAFU HUWEZI FANYA BIASHARA UTAKUWA WA AJABU SANA,


  1. IKIWA NA CONFIDENCE NA CAPACITY UKAKOSA COMMITMENT HUWEZ FANYA BIASHARA

  2. UKIWA NA COMMITMENT NA CAPACITY UKAKOSA CONFINDENCE TIYALI UNAKUWA UMEISHA SHINDWA, NA NDO WALE WANASHINDWA HATA KABLYA YA KUANZA BIASHARA

  3. UKIWA NA COMMITMENT NA CONFINDENCE UKAKOSA CAPACITY HUTAFANYA CHOCHOTE KILE,

   
 12. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Heshima mbele Dr.
  Kwanza niseme kwamba umenichanganya kidogo kwan title inasema unataka kuwa mjasiriamali (unaomba ushauri), lakini ushauri unaoombwa unahusu namna ya kubuni mradi. Kwa hapa inatosha kusema kwamba, kunatofauti kubwa sana kati ya kuwa mjasiriamali, kufanya biashara na kujiajiri mwenyewe.

  Kuwa mjasiriamali si lazima ujiajiri Dr. Je hujawahi kusikia suala la [FONT=&amp]Corporate Entrapreneurship[/FONT]? Kifupi ni kwamba unaweza kuwa [FONT=&amp]Corporate Entrapreneur [/FONT]bila kujiajiri. Kama unataka kujiajiri, basi zingatia ushauri wa Komandoo. But kama unataka msaada wa namna ya kubuni miradi, basi hili ni somo refu kidogo (linastahili uzi wake na nitakuja nao kwa kipindi muafaka).
  But kwa leo naomba nikupatie kitu kidogo, kitu ambacho nami nilifundishwa na Mentor wangu huku site, ([FONT=&amp]lakini kama tu utakuwa umeshafanyia kazi huo ushauri wa Komandoo kwani unahusika sana[/FONT]). Anza na kuangalia changamoto, matatizo yanayowakabili watu katika mazingira uliyopo au ya mbali. Halafu fikiria namna ya kutatua hizo changamoto/matatizo kibiashara, ukiwa na mambo haya kichwani; motivation, know-how, capital and outlet.

  Kisha jiulize maswahi haya

  [FONT=&amp]1. Do you have enough information about the business? [/FONT]
  [FONT=&amp]2. Are you passionate about the business? [/FONT]
  [FONT=&amp]3. Is the business viable? Remember, until you sell something, it’s not a business, it’s only a hobby that costs you money. [/FONT]
  [FONT=&amp]4. If you started the business, what kind of competition would you have? Don’t be fooled into thinking that the business has no competitors. Every viable business has competition. Kisha Jiulize biashara yako itakuwa na uniqueness zipi?[/FONT]
  [FONT=&amp]5. Will your return on investment be worth the risks involved? Will you make more money than investing in something less risky, or a different business?[/FONT]

  Hebu anza na hili kama Homework
  Hapo kazini kwenu, mpo wafanyakazi wangapi? Wakati wa lunch mnaenda kula wapi? Je wafanyakazi wanaridhika na huduma za chakula wanazozipata? …. (Unaweza ukajikuta unaanza na Catering Services, na Soko likawa ni hao wafanyakazi wenzio).

  N.B
  Smart people are clever enough to bring right people on board and use them, hivyo hapo kwenye red si lazima huo ujuzi uwe nao personally

   
 13. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bring it on Caro
  But kabla hujatushushia hizo Nondo ni vyema ukaelewa muktadha wa hizo 3c's na namna Komando alivyozitumia, na nikupe angalizo kwamba huo mtaji unaingia kwenye Capacity. Nakubaliana nawe unaposema unaweza usifanikiwe, haswa kama unamaanisha biashara isikuwe sana, lakini ni lazima ufanikiwe kujiajiri kwan hizo 3C's ni nguzo muhimu.

  Labda nikuulize swali, mwanao (kama wewe ni mzazi) akikufuata na kukuomba mtaji kuwa anataka kujiajiri, utampima kwa vigezo gani kwanza?
  Je ni kwa nini walimu wengi wa ujasiriamali wanafundisha watu namna ya kujiajiri na kuendesha miradi lakini wao hata miradi ya ufugaji kuku hawana?

  3C's sio kila kitu ila kwa vigezo vyovyote vile ni nguzo muhimu kwa mjasiriamali anayetaka kujiajiri
   
 14. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu nashukuru kwa ushauri, ila picha ninayopata hapa ni kwamba, kumbe I was wrong kufikiri kwamba kuwa na mtaji tu ndio kila kitu. Lakini pia nimeanza kupata mwanga kwa mbali kwamba niki implement hizo 3Cs nitafanikiwa.

  Ombi langu sasa naomba tujikite hapo ktk kubuni mradi kwa kizingatia hayo niliyosema hapo. Yes, mmenishauri kuhusu Cattering, hotel, bar etc. nimewaelewa, lakini pia napenda kuona options nyingi zaidi ili niwe na wide range of choice kulingana na mazingira niliyopo.
   
 15. Retired Member 5

  Retired Member 5 Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani nimesoma hizi post, matatizo matupu; watu hawajui hata unataka kufanya nini.. wameshaanza kuongelea 3 Cs? motivations? outlets? storage? WTF?

  Mrimi,

  kitu cha KWANZA kabisa inatakiwa UJUE nini unataka kufanya; haya mambo ya 3 Cs, sijui website, sijui ofisi rent, sijui simu za biashara, sijui leadership na book keeping YATAFUATA! wewe tueleze kwanza unataka kufanya nini?

  hawa watu wanaokupa ushauri hapa, wamesoma articles tu na sidhani kuna mtu hata mmoja hapa amefanya biashara; sasa kama ukiona hakuna tatizo (i am aware of patent issues and copyrights), tueleze ni biashara gani unataka kufanya alafu ndio tutaanzia hapo kukushauri!? you dont need to read any article at this very moment;
   
 16. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  ili uonekane real entreprener ni kunazia kwenye aidea ya biashara yako,

  Mkuu ok kuna vitu vya kuomba ushauri ila kuna vitu unataikiwa na wewe kufanya mwenyewe.


  1. Good Business aidea ni ile iliyo anzisha mwenyewe mkuu, hii ndo the best one, hizi za kuambiwa mara hoteli, mara bar si aidea.

  2. Hiana haja ya haraka na unatakiwa ukae chini na Notebook na ujaribu kutengeneza aidea mbalimbali then zichuje mpaka zibakie 3 na hatimaye moja.

  3. Katika swala zima la Aidea unaweza pata aidea 5 bora na ukafanya kazi na moja itakapo fail unachuka the second one au ukipata mtaji wa kutosha unakuja kuzi implement zote 5 katika mfumo wa SBU Strategic Business Unit.


  - ANGALIA MFANO WA WANZILISHI WA MAKAMPUNI MAKUBWA DUNIANI

  1. Dell- huyu alisha kufa but bado jina lake linaishi

  2. Henry Ford- Hawa waliona mbali sana

  3. MC Donalids- Huju mjasiliamli unaweza sema aliiona kesho, na hayupo leo hii,

  Hawa jamaa walisimamia kwenye aidea zao pamoja na misukosuko ya uchimi wa dunia hawakuweza kubadilisha na kuja na aidea zingine


  SO UNAPO DEVELOP AIDEA TAGET MIAKA HATA 50 IJAYO, MKUU NA SI UNAKUJA NA AIDEA BAADA YA MWAKA TUNAAMBIWA UNAFANYA KITU KINGINE BAADA YA MUDA TENA UNAFANYA KITU KINGINE.

  1. Ingeji sana katika hobi yako na fikilia unaweza fanya jambo gani kutokana na hobi yako

  2. Know your limi- Angalia uwezo wako unaishia wapi, usilihusu ubongo do not let your imagnation run wild

  3. Hapo ukiwa na not book anza kuunda aidea yako, kwa kunagalia factor mbalimbali

  4. Identfy a problems- kupitia aidea yako jaribu kuangalia tatizo liko wapi Tanzania hii, Africa hii na unazania aidea yako italisolve vipi?

  5. Mwisho study demographic- Hapa angalia ni watu gani utadili nao kutokana na tatizo ulilo ona?
  - Je ni wazeee?
  - Je ni wakina mama?
  - Je ni watoto wadogo?
  - Je ni vijana wa kike?
  - Je ni vijana wakiume?
  - Je ni wanafunzi?
  - Je ni wafanyakazi/ watu walio ajiliwa tu?
  - Je ni mchanganyiko wa hao waote?
  Kwenye aidea lazima uonyeshe utadili na watu gani


  ANGALIZO

  a. Usiforce aidea mkuu utakuja kulia bure, isiforce aidea kiushabiki kisa demu wako.mke/mme,na wengineo wanaipeda

  b. Usitarajie miujiza kwa first time, ndo maana wakina henry ford waliteseka sana


  -SO UNAPOTENGEZE AU KUDEVELOP AIDEA DEVELOP AIDEA MABAYO HATA LEO NA KESHO USIPO KUWEPO AIDEA YAKO ITABAKIA KAMA UTAMBULISHO WAKO

  - DEVELOP AIDEA AMBAYO UKIENDA KWENYE PRESENTATION ZA AIDEA WATAKUONA KAMA MTU KUTOKA SAYALI NYINGINE

  - DEVELOP AIDEA AMBAYO HATA UKIMSIMULIA RAFIKI YAKO ATAKUKUBALI

  - DEVELOP AIDEA AMBAYO UKITENGENEZA HATA PROPASAL YA KUOMBA MKOPO ITAKUWA RAHISI,

  - AIDEA NZURI INANGUVU SANA KATIKA KUOMBA MIKOPO, KUTAFUTA JOINT VENTIRE NA KAZALIKA

  MKUU KIPIMO CHA MJASIRIAMALI ALIYE COMMITED KINAANZI KWENYE AIDEA, AIDEA NI KAMA TEST/MTIHANI WAKO NA UKIRUHUSU UFANYIWE NA WEWE NI KWENDA KUSBMIT TU UTAKUJA SHINDWA MBELE YA SAFARI


  That is wahy mimi siwezi na sitakaa ni kumabie fungua hiki mala kile, mimi niko Arusha wewe uko Tabora na kuambia ufungue baar, mara hotel nafahamu mazingira ya huko? nafahamu population ya huko imekaa vipi?

  one day nitakuambia kwa nini aidea za kusubili uambiwe nyingi huishia ukingoni,

   
 17. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu upo sahihi kwa kiwango fulani, lakini kama ungemsoma vizuri Dr. Mrimi ungejua kuwa hajui anachotaka kufanya kwa sasa, na ndio maana amekuja hapa jamvini. Na hataki aambiwe cha kufanya, bali anataka clues za namna ya kubuni huo mradi na vitu vya kuzingatia katika mchakato huo.

  Hapo kwenye red panaweza kuwa ni sahihi kabisa, bali hicho si kigezo cha kutokuwa na mawazo sahihi, kwani hata hizo article zilizosomwa mahali zinaweza kuwa na mchango mkubwa. Wengine walifundishwa huo ujasiriamali na maprofessor wasio na hata miradi ya kuku (kitu ambacho personally sikiungi mkono), but wamekuja kuwa wajasiriamali wakubwa na wenye mafanikio
   
 18. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tatizo letu tunadhani ujasiriamali ni kufanya biashara tu, jamani kuna Social Entrepreneurship. Kwa hiyo unaruhusiwa kutoka ndani ya box na kufikiria/kuangalia hayo mazingira ya huko kwa mapana yake, hata kwenye vitu vinavyoikwaza jamii ya huko. Tunaweza kugeuza matatizo/changamoto za jamii zikawa fursa, hivyo tukaisaidia jamii huku tukitengeneza pesa
   
 19. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu mimi nahitaji kufanya mradi wa kuniongezea kipato badala ya kutegemea monthly salary. Kiukweli sina idea yoyote ya maana juu ya mradi/biashara gani nifanye. Kusema ninataka nifanye nini ni ngumu kwa kuwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikitegemea wengine(masomoni). Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba ndiyo sasa nataka kuanza. Nahitaji kusaidiwa nianze vipi na nini? Sijui kama nimeeleweka?
   
 20. L

  LAT JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ujasiriamali ni uwezo wa kubuni wazo zuri la biashara
   
Loading...