Nahitaji kuwa fundi upande wa software kwenye simu. Nianzie wapi?

bishororo

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
254
356
Mimi ni fundi wa simu lakini nipo upande wa hardware, lakini kutokana na nahitaji ya wateja sasa nahitaji kujifunza software.

Naombeni msaada nianzie wapi niwe mtaalamu wa haya mambo?
 
Dah fundi wa kushona kanzu anaomba kuelekezwa jinsi ya kushona dera..
Fundi wa kushona suruali ambaomba kuelekezwa jinsi ya kushona kaptula...

Anzia hapo hapo ulipoishia mkuu jifunze kupitia mafiundi wenzako wa upande wa software ambako huwa unaenda ku flash simu za wateja..
Zaidi jifunze kupitia youtube..
Kama unajiweza kasome IT
 
Mimi ni fundi wa simu lakini nipo upande wa hardware, lakini kutokana na nahitaji ya wateja sasa nahitaji kujifunza software.

Naombeni msaada nianzie wapi niwe mtaalamu wa haya mambo?
Huko kwenye software unataka kutengeneza huko nini.
CHIF mkwawa msaada huku
 
Location Yako?

Back
Top Bottom