Nahitaji kutengenezewa website

gesselle

Senior Member
Nov 12, 2013
171
50
Nahitaji kutengenezewa website inayoweza kuruhusu muingiliano Na website nyingine pia muingiliano Na bank mfano visa Na MasterCard mwenye uwezo huo Na mwenye bei nzuri ni pm
 
Nahitaji kutengenezewa website inayoweza kuruhusu muingiliano Na website nyingine pia muingiliano Na bank mfano visa Na MasterCard mwenye uwezo huo Na mwenye bei nzuri ni pm

atakae tengeneza awe wap au maala popote tu. toa maelezo ya kutosha ili tujue tunaanzia wap.
 
atakae tengeneza awe wap au maala popote tu. toa maelezo ya kutosha ili tujue tunaanzia wap.

Popote sikuhizi hakuna Beria ya malipo wala kuiweka website online unaweza kuitengeneza nikaona nikaikubali ukairusha online ukanipa necessary password nikazibadilisha nikaongea Na hizo link ninazozihotaji watu wakajiunga kazi ikawa imeisha mkuu popote mtu alipo ninachohitaji bei nafuu kumbuka katika hiyo fedha itakayotaja uweke Na gharama za host Kwa mwaka mmoja
 
Nahitaji kutengenezewa website inayoweza kuruhusu muingiliano Na website nyingine pia muingiliano Na bank mfano visa Na MasterCard mwenye uwezo huo Na mwenye bei nzuri ni pm
Details hazitoshi.
Minimum Budget inahitajika ili kujua kama ni kazi ya kuichukua au kuachia wengine :)
 
Tafadhali eleza zaidi.

Unataka site yako ikuwe ya nini? Online sales, notifications, adverts ama?

Naitwa Gati na nina umaarafu kwa kuwa nimetengeneza sites kadhaa ambazo zinafanya business tofauti - moja ni ya book sales, nyingine finance, nyingine news, na kadhalika.

Lakini inabidi ueleze zaidi.
 
Nashukuru watu wote walioonyesha nia ya kutusaidia kutengeneza website. Tumempata mtu Na tayari tumeshaingia contract ya kufanya kazi hiyo asanteni sana ila address za wote waliotutumia tutazihifadhi Kwa ajili ya future.
 
Back
Top Bottom