Nahitaji kutengeneza Android application lakini sijui lugha yoyote ya computer

matthew2000

Member
Apr 6, 2021
6
10
Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata pasipo kuwa na ujuzi wowote kuhusu programming, hapa itakuwa ni tofauti.

Imani yangu wale wote ambao watakuwa na mwamko wa kujifunza kuunda apps za android ni kwamba wana ufahamu wa kufanya programming kwa kutumia JAVA ama OOP language yoyote na pia wana uelewa hata kidogo kuhusu xml (eXtensible Markup Language).

Mtindo ambao tutajifunza ni kwa namna ya ku-develop projects (apps) mwanzo mwisho, na tutakopofika ukingoni mwa mafunzo haya ningeomba tushirikiane kwa pamoja kuunda app ambayo itakuwa nzuri na kisha tuunde hata team ambayo tutaweza kuunda apps mbalimbali.

zifuatazo ni projects ambazo tutazifanya kupitia uzi huu.
1. Welcome App

2. Android Media Player

3. Tip Calculator App

4. Music Event App

5. Ubber Clone

6. Messaging App (Whatsapp Clone)

7. Flag Quiz App

9. Cannon Game App

10. Weather App

11. Media, Videos and Sound Apps

12. Instagram clone

Karibuni nyote.

Itaendelea.....

mafunzo zaidi kwa njia ya video

Ngoja Developers waje kukuparua hapa. Wamesomea kwa mabilioni alafu wewe unatoa ilimu bure hahahahah.
 
Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata pasipo kuwa na ujuzi wowote kuhusu programming, hapa itakuwa ni tofauti.

Imani yangu wale wote ambao watakuwa na mwamko wa kujifunza kuunda apps za android ni kwamba wana ufahamu wa kufanya programming kwa kutumia JAVA ama OOP language yoyote na pia wana uelewa hata kidogo kuhusu xml (eXtensible Markup Language).

Mtindo ambao tutajifunza ni kwa namna ya ku-develop projects (apps) mwanzo mwisho, na tutakopofika ukingoni mwa mafunzo haya ningeomba tushirikiane kwa pamoja kuunda app ambayo itakuwa nzuri na kisha tuunde hata team ambayo tutaweza kuunda apps mbalimbali.

zifuatazo ni projects ambazo tutazifanya kupitia uzi huu.
1. Welcome App

2. Android Media Player

3. Tip Calculator App

4. Music Event App

5. Ubber Clone

6. Messaging App (Whatsapp Clone)

7. Flag Quiz App

9. Cannon Game App

10. Weather App

11. Media, Videos and Sound Apps

12. Instagram clone

Karibuni nyote.

Itaendelea.....
Tunanze na hii messaging app ni End to end encryption au..?
 
Eeh Mwenyezi Mungu naomba umsaidie mtoa mada akatimize kusudio la Moyo wake. Jamii ikapate kuelimika kupitia yeye Amina
 
Back
Top Bottom