Nahitaji kusoma CPA

Shangchi

Member
Feb 5, 2017
6
6
Habari ndugu zangu,

Mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi shule ya serikali nipo vijijin lindi,nilikua nahitaji kusoma CPA lakini review classes zote zipo maeneo ya mjini hasa Dar, pia hofu yangu ni je naweza kukubaliwa kusoma kwa miez kadhaa then nirudi kazini?

(I.e kusoma foundation 4 months) pia kusoma kwangu hakuwez affect kupanda daraja? Naomba ushauri na maoni kutoka kwenu.

Natanguliza shukrani
 
Pitia huu uzi utakusaidia

 
 
CPA HAISOMWI
cpa ni cheti cha utambulisho
Ndo mana hata mitihani inaandikwa NBAA EXAMS
haiandikwi CPA EXAMS

anzia hapo kwanza kujua unasoma nn ?
Ukielewa hivyo omba ushauri sasa
 
Vipi mkuu, ulifanikiwa kuanza kufanya mitihani ya NBAA. Na ilikuaje. Tupe mrejesho mkuu
 
CPA ni kwa waliosomea uhasibu au unataka kuwa mhasibu aliyethibitishwa na NBAA na ili upate uthibitisho huo unaanza mtihani wa Foundation ukifaulu unaingia Intermediate halafu unamalizia Final, Madarasa yenyewe ni part time NBAAhawahusiki wew ni kujiandikisha(unalipia) mitihani yao tu.
 
Back
Top Bottom