Nahitaji kusikiliza vikao vya bunge, nisikilizie wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kusikiliza vikao vya bunge, nisikilizie wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Feb 11, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wana jamvi kama mjuavyo mgao wa umeme sasa umeshika kasi. Niko hapa mwanza leo ni siku ya nne hakuna umeme, wanakata sa kumi na mbili asbh wanarudisha usiku hivyo no acces to tv. Nimeamua kununua redio ndogo ya mkulima ili nipate taarifa za nini kinachoendelea pale dodoma. Nauliza ni stesheni zipi za redio zinazotangaza vikao vya bunge moja kwa moja asubuhi na jioni ili nifatilie.?
   
Loading...