Nahitaji kusajili kampuni

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
513
Habari wanajf! Nahitaji kusajki kampuni yangu ambayo itakuwa ni limited company, hivyo kutokana na usumbufu wa pale Brela naomba msaada kwa mzoefu wa masuala hayo. Note kwa yoyote utakaejitokeza ni kuwa Jina tayari nishalibuni, na Memorundum of Association na Article of Association tayari ninavyo nimeandaa! Bado tu kuanza mchakato. Malipo ya kazi hii ni makubaliano baina yangu na mtu atakayejitokeza! Full respect kwenu wana Jf!
 
Bado sijaipeleka kwa mwanasheria! Ila nimeandika kwa kufuata memorandum amby nilikuwa na kampuni awali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom