uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 513
Habari wanajf! Nahitaji kusajki kampuni yangu ambayo itakuwa ni limited company, hivyo kutokana na usumbufu wa pale Brela naomba msaada kwa mzoefu wa masuala hayo. Note kwa yoyote utakaejitokeza ni kuwa Jina tayari nishalibuni, na Memorundum of Association na Article of Association tayari ninavyo nimeandaa! Bado tu kuanza mchakato. Malipo ya kazi hii ni makubaliano baina yangu na mtu atakayejitokeza! Full respect kwenu wana Jf!