Nahitaji kusaidiwa jina la biashara

Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.

Nahitaji kufungua kampuni ya itayodeal na financial services.

Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.

Zawadi ya elf 10000 itayolewa kama zawadi.
Perfect financial services
Unique financial bureau
Sky finance Ltd
Total microfinance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.

Nahitaji kufungua kampuni ya itayodeal na financial services.

Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.

Zawadi ya elf 10000 itayolewa kama zawadi.
Mshana JR microfinance pont.
 
Huyu jamaa nae ajaingia Online toka apost minashida na hii 10 aisee
 
Asanteni sana wadau kwa mawazo yenu mazuri frankly speaking jina nimeshapata lkn halitokani mmoja wenu humu nipo katika kulifanyia taratibu za usajili na mambo mengine kabla kuanza ntalileta hapa
 
Faidika Financial Services
Huduma za kifedha Ltd
Dunduliza Financial Services
Wekeza Financial Services
Pamoja Financial Services
Tajirika Financial Servises
Wananzengo Financial Services
Jitegemee Financial Services
Ushauri na Mikopo Financial Serv.
 
Asanteni Sana wadau kwa mawazo yenu mazuri frankly speaking jina nimeshapata lkn halitokani mmoja wenu humu nipo katika kulifanyia taratibu za usajili na mambo mengine kabla kuanza ntalileta hapa
Duu Bro nime Battle sana nifikurie iyo 10 teni basi nipunguze shida.
 
Mkuu moja ya njia za kupata jina la kampuni ni kupata recommendation/suggestion names kutoka kwa watu mbalimbali, halafu unachagua, simple tu ili usile sana units :D
Good idea, hata mm nakumbuka niliwahi kuifanya idea ya kutafuta jina la stationery yangu, ktk jukwaa hili hili, hongera Sana!
 
Ukishapata jina la Biashara.... njoo mimi nikusaidie kusajili kampuni, kufuatilia vibali na taratibu zote za mwanzo kama TIN Number, Tax Clearance, Leseni ya Biashara, n.k

Huduma yote hii utaipata kwa bei ya kiTanzania kabisaaa.
Kwa gharama ya kiasi gani? Mkuu unaweza nipa gharama zako PM
 
Back
Top Bottom