Nahitaji kupata Mkopo kutoka kwenye taasisi za wajasiriamali, dhamana yangu kiwanja

Masokwe

JF-Expert Member
Mar 30, 2019
451
676
Helo wakuu, nahitaji kupata mkopo kutoka taasisi yenye kujali wajasiriamali,
Nahitaji kutanua biashara yangu kiasi,
Naomba ushauri maana dhamana niko nayo ni gari,
Kiwanja kipo lakini hakina title deed,

Ushauri tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara nzuri ni ile inayojikuza yenyewe. Mikopo kwa hizi nchi zetu si nafuu kabisa kwa wajasiriamali. Actually wajasiriamali wengi wamepotea kwenye ramani sababu ya kujiingiza kwenye mikopo. Hao akina MO wana mikopo lakino wanapata very very special rate ambayo mimi na wewe hatuwezi kuipata.

Mwisho wa siku unaishia kuwafanyia kazi taasisi za fedha.

Ushauri wangu uza kiwanja. Badala ya kukopa.
 
  • Thanks
Reactions: amu

Usimkatishe tamaa mwenzio, kila mmoja ana mpango wake wa kutumia pesa ya mkopo kibiashara. Mkopo ni suluhisho muhimu la kupanua wigo wa mtaji wa biashara. Akina MO walianzia pia kupata mikopo yenye riba kubwa, wamefika walipo baada ya kupitia milima na mabonde ya riba za taasisi hizo hizo za kifedha. Tukaze buti tuache tabia hasi za kuogopa kukopa, ili ukuze wigo wa biashara ni muhimu kukopa ili mradi pesa za mkopo utumie kwa mujibu wa lengo la kuomba mkopo husika
 
Nop siyo wanapata special rate.
Uko hivi riba ya bank na hivi vimicrofinance zinatofautiana.
Na mara nyingi hao wanapokopesha wajasiriamali wadogo na wao wanakopa Bank na ndo wanakuja na viterm vyao riba kila mwezi ni kiasi kadhaa mpaka utakapomaliza mkopo we hata ukikaa na mkopo miaka ili mradi riba ya mwezi upeleke.
Sasa njoo mikopo ya kina Mo wale wanakopa pesa ndefu sana mabillion huko na rate zao huwa ni ndogo sana kulingana na kiwango cha interest rate za Bank.
Hata anaekopa millio 4 na anaekopa millio million kumi na mbili kuna baadhi ya bank rate zao zinapishana.
Biashara nzuri ni ile inayojikuza yenyewe. Mikopo kwa hizi nchi zetu si nafuu kabisa kwa wajasiriamali. Actually wajasiriamali wengi wamepotea kwenye ramani sababu ya kujiingiza kwenye mikopo. Hao akina MO wana mikopo lakino wanapata very very special rate ambayo mimi na wewe hatuwezi kuipata.

Mwisho wa siku unaishia kuwafanyia kazi taasisi za fedha.

Ushauri wangu uza kiwanja. Badala ya kukopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom