Nahitaji kupata kadi ya chama cha mapinduzi "CCM" naanzia wapi?

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Tokea nizaliwe, sijawahi kupiga kura wala kua upande wowote wa chama cha siasa, lakini kwa sasa kutokana na uchaguzi huu uliopita wa 2020 nimevutiwa sana na mimi niwe mwanachama kindakindaki wa CCM.

CCM Inajua namna ya kujiendesha na imeshawin mentality ya watanzania, yaani CCM wanajua kabisa watanzania tukiwatekenya sehemu fulani lazima wacheke, na wasipocheka watachekeshwa hata kwa kutumia nguvu.

Yaani ni kwamba CCM ni kama maji, haikwepeki.

Nawashauri tuu upinzani kua mara nyingine ni bora ujiunge na upande wenye nguvu, Africa hakuna haki.
 
Nenda tawi lolote la CCM lililokaribu nawe kajiandikishe upewe kadi uwe mwanaccm.
CCM oyeeeee,,!
 
Astakafal waliomo hawana raha wala amani.
Wenye chama chao wanajutia wakuja kupora maamlaka chini ya kivuli dola.
 
Ukiwa n elfu 20 nitafute nikupe card uku kwetu lumumba zipo tu ata ukitaka card ya mwaka 90 unapata
 
Chagua Hapa
Mkia Wa Mbuzi
Mkia Wa Simbirisi
Mkia Wa Ng'ombe
 
Tokea nizaliwe, sijawahi kupiga kura wala kua upande wowote wa chama cha siasa, lakini kwa sasa kutokana na uchaguzi huu uliopita wa 2020 nimevutiwa sana na mimi niwe mwanachama kindakindaki wa CCM...
Nenda kwa katibu wa tawi lolote utakalo penda liwe tawi lako, utapata maelezo yote unayohitaji karibu sana CCM.
 
kwa threads zako hapa kwenye forum wewe ni mwana ccm acha kuzua mpumbavuu weee kumaaa la maaaako
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom