Nahitaji kununua suti ya harusi kwa bei nzuri

Mheshimiwa_Mtemi

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
288
215
Nahitaji suti ya harusi, bei poa, kali na yenye rangi ya kisasa.

Nijuzeni ni rangi gani nzuri na nitapata wapi kwa hapa Dar.

Asante.
 
Anapatikana pia instagram, search mbogofashion.
Simpigii promo ila ndiye anayewashonea suit kina Joti na Mpoki.
Hawa washona suti za ma celeb ukienda mtu kama hujulikani

Wewe ndio anakufanya DEMO yani anakutandka bei hiyo mpk

Unaondoka unachechemea kwa bei atakayokutajia .. .. ...
 
Nilikua na fundi wangu sema Mungu kamchukua yule mzee

bado hadi leo naamini mafundi suti wakali "hawapo instagram"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom