Nahitaji kununua i phone 12 Pro Max

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Habarini Wadau

Nina hitaji kununua hii simu kutoka kwa Muuzaji yeyote aliyepo Dar, iwe Mpya Kabisaa. Mimi nipo mkoa tofauti na DAR. Lengo hapa nikujua ni Muuzaji gani naweza kumtafuta instagram ambae ni wa kuaminika na simu zake hazina magumashi.

Muuzaji ambae atapendekezwa na wengi bila shaka ndio nitakuwa mteja wake wa leo.
 
D46F277C-4412-49F6-91D6-866F70218562.jpeg
0D6C4D1B-D965-4177-95F1-9D8EA4FAD3B7.jpeg
82E63FCF-0638-4512-B0B4-A35274147AA1.jpeg
F72FEDA0-1828-4A50-9F23-2779F9DC3893.jpeg
 
Hatimaye fursa imejitokeza... Wanakuja mkuu ila umakini ni jambo la muhimu sana!

Wa kwanza aliyecomment hapo anabeba maboksi Marekani. Kuwa makini asikudanganye anauza simu
 
Hatimaye fursa imejitokeza... Wanakuja mkuu ila umakini ni jambo la muhimu sana!

Wa kwanza aliyecomment hapo anabeba maboksi Marekani kuwa makini asikudanganye anauza simu
nipo makini sanaaa mkuuu Yaani yule atakae kuwa recommended na wengi ndio nitamtafuta, huyu wa kwanza kaweka tuuu simu hajasema kama anauza
 
nipo makini sanaaa mkuuu Yaani yule atakae kuwa recommended na wengi ndio nitamtafuta, huyu wa kwanza kaweka tuuu simu hajasema kama anauza

Baba naona kama unapoteza muda.

Kama unataka Iphone genuine nenda Apple store na authorized dealers

na Kama unataka za ujanja ujanja, Used, za wizi, Refurb pambana na instagram na Makumbusho
 
Kwanini usiende kununua maduka ya makampuni ya simu kwenye mkoa uliopo.. Tigoshop,Vodashop n.k

Simu ya 3m unataka kuinunua kienyeji hivyo bongo hii..utalizwa.
 
Kma una hela ya uhakika nenda Tigo shop, vodashop, airtel shop, nk.

Kma hufikii hyo hela kuna jamaa huyu hapa 0752521143. Wana duka Sinza. Unapewa na risiti na warranty ila ni zile refurb

Ila ushauri ni kwenda kwenye maduka husika ya simu mkoa uliopo.
 
Habarini Wadau

Nina hitaji kununua hii simu kutoka kwa Muuzaji yeyote aliyepo Dar, iwe Mpya Kabisaa. Mimi nipo mkoa tofauti na DAR. Lengo hapa nikujua ni Muuzaji gani naweza kumtafuta instagram ambae ni wa kuaminika na simu zake hazina magumashi.

Muuzaji ambae atapendekezwa na wengi bila shaka ndio nitakuwa mteja wake wa leo
Mtafute instagram, Thetech360 au Phone_point_dar
 
Instagram wapo jamaa wanajiita eshoptz. Hawa huwa wanauza iphone orgn from america. Unaoda kwao then unasubiri kama wiki 2 au 3 hivi mzigo wako ufike. Hawana konakona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom