isack raphael
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 139
- 30
Habar wana jf.
Nifahamisheni bei ya baro za nguo za mtumba...nahitaji
Nifahamisheni bei ya baro za nguo za mtumba...nahitaji
Habar wana jf.
Nifahamisheni bei ya baro za nguo za mtumba...nahitaji
mkuu kuna mabaro ya aina tofauti ungesema unataka kufungua nguo za aina gani na gredi ipi kuna 1,2 na 3, funguka ili tukusaidie.
Ni kati ya milioni 1 mpaka 3. Kama unao mtaji wa kuanzia laki 2 au 3 basi fikiria viatu vya mtumba, unaamka usiku kama saa nane hivi unakuwa tayari pale karume, viatu vizuri vya mtumba ambavyo mchana huuzwa mpaka elfu 50 muda huo usiku huuzwa kati ya elfu 5 mpaka elfu 10. Faida ni zaidi ya mara 2 yake. Jaribu hii ila usiwasimulie watu wengi.