Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 746
- 635
Wadau
Mimi ni mkurufunzi katika moja ya chuo hapa nchini, nikifanya shahada yangu ya kwanza katika kitivo cha elimu iliyojikita zaidi kwenye utaalamu wa lugha ya kiingereza (BED ARTS-LINGUISTICS)
Ningekuwa na shauku kubwa sana kuujua mtaala wa elimu na mfumo mzima wa elimu nchini, na katika kufanikisha hilo, sijaishia tu kusoma vitabu (bookish experiences), bali nimekuwa Niko jitahidi kukutana na wadau na wataalamu wa mtaala.
Nimeleta kwenu Uzi huu ili niweze kukutana na wabobezi wa kitivo huku ili niweze kuuliza maswali!
NAWASILISHA