Nahitaji kukadilia material mbalimbali ili nianze ujenzi kiwanja kipo maeneo ya Dodoma chamwino ila Kuna vtu nahitaji kuvifaham bei

1.Mchanga Tipa
2.Cement
3.kokoto Tipa
4.Tofali inch 5 n 6
5.Mawe
6.Nondo mil 12
Mchanga 80000 hadi 90000
Kokoto 150000
Nawe 150000
Cement 17000
Tofali 1300 inch 6
Tofali 1100 inch 5
Nondo 12mm 18000
Kifusi moram 90000
Maji boza 180000

Bei zinategemea ba umbali wa kupeleka material.
 
Back
Top Bottom