Nahitaji kujua

elias godfrey

Member
Oct 13, 2012
35
6
Mimi ni kijana niliemaliza form 4 mwaka jana matokeo ya kwanza nimepata division 0 ila nashukuru mungu matokeo ya pili nimepata division 4 ya 33 chemistry D,maths D nyingine zote F nahitaji kujua kwa matokeo haya naweza nikapata chuo cha kusoma?
 
Back
Top Bottom