Nahitaji kujua utaratibu wa kukatia passport mpakani

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
611
697
Wakuu nahitaji kujua utaratibu wa kukatia passport mpakani coz nimepata kazi flani hivi ya muhimu sana ya kufanya Kenya kwa Siku tatu na ninatakiwa niondoke kesho asubuhi ili nisichelewe kwahiyo anaejua process za kukata passport border anijuze wakuu.
 
Wahi uhamiaji na picha 3 za pasipoti, jaza fomu kale kiapo kwa wakili au kata mshiko 20k waachie saa 9 kachukue temporary pass, kazi finish!
 
Back
Top Bottom