Wakuu nahitaji kujua utaratibu wa kukatia passport mpakani coz nimepata kazi flani hivi ya muhimu sana ya kufanya Kenya kwa Siku tatu na ninatakiwa niondoke kesho asubuhi ili nisichelewe kwahiyo anaejua process za kukata passport border anijuze wakuu.