Nahitaji kujua utaratibu wa kubadili jina la ukoo la Mwanamke baada ya ndoa

Mheshimiwa_Mtemi

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
288
215
Wataalamu wa sheria Naomba kujulishwa hatua za kufuata ili mke abadili jina lake la ukoo na kutumia la mmewe.

Asanteni
 
Kwani ukimuacha akatumia majina yake atakuwa sio mkeo? Na ukimpa talaka anakwenda na jina lako?
 
Angalia Imani yenu, Kuna Imani haziruhusu hilo, maana kumuowa siyo kwamba umemnunua jumla.
 
Nafikiri anaweza kulitumia tu anytime baada ya ndoa. Ila atahitajika kuambatanisha cheti cha ndoa. Sidhani kama kuna haja ya hati ya kiapo.
 
Ni lini hasa huwa Ni muda wa kujaza maombi ya kujiunga na law School of Tanzania.
Nilitaka mwanangu aanze mwezi wa sita mwaka huu lakini nafasi zimeshajaa tayari. Je waliomba lini? Yeye amefanya graduation Desemba 2020, je angeomba lini ili achaguliwe intake ya januari au June 2021?
 
Back
Top Bottom